- 48 viewsDuration: 3:48Mwezi Januari unapotumika kutoa hamasisho ya saratani ya mlango wa uzazi, wafugaji kaskazini mwa nchi wametuhumiwa kwa kupinga utoaji chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa uzazi ya HPV. Wanapoibua dhana za pingamizi, wametakiwa kukumbatia vipimo vya mapema na kukumbatia chanjo ya HPV ili kukomesha saratani.