3 Mar 2026 1:40 pm | Citizen TV 527 views Duration: 1:30 Kaunti ya Migori imetambua vituo kadhaa vya afya katika kaunti ndogo zake ambapo dawa ya kuzuia maambukizi ya virusi vya Ukimwi lenacapavir, itaanza kutumika.