Chansela wa Chuo Kikuu cha KCA atoa changamoto kwa taasisi za elimu kubuni soko la ajira kwa vijana

  • | NTV Video
    295 views

    Chansela wa Chuo Kikuu cha KCA profesa Olive Mugenda ametoa changamoto kwa taasisi za elimu ya juu kukumbatia mfumo wa teknolojia kubuni soko la ajira kwa vijana. Akizungumza katika hafla ya mahafala chuoni humo hapa nairobi, Mugenda amesema kuekeza kwenye teknolojia kutawawezesha wanafunzi kupata ujuzi kabambe ili kutumika kutatua changamoto za kijamii kiteknolojia kutumia utafiti wa kisayansi

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya