20 Feb 2026 10:10 am | Citizen TV 448 views Duration: 1:21 Wakili mwandamizi Charles Kanjama alichaguliwa jana usiku kama rais mpya wa chama cha mawakili - LSK kwa kura 3,728, katika kinyang'anyiro kilichowavutia wagombea watatu.