Cheboswa, Kericho: Wakaazi wakosa dawa na matibabu Kufuatia kufungwa Kwa Zahanati ya eneo hilo

  • | NTV Video
    76 views

    Wakazi Wa eneo la Cheboswa, hususan Wale Wanaofanya Kazi Katika Shamba la Chai la Nyayo Tea Estate, Wamekuwa Wakikumbwa na Changamoto Kubwa ya upatikanaji wa dawa Kufuatia kufungwa Kwa Zahanati ya eneo hilo bila ilani.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya