Cheche za michezo ya Echesa

  • | K24 Video
    Viongozi kadhaa wakiongozwa na senata wa siasa James Orengo wamemtaka naibu rais William Ruto kujitokeza peupe na kuelezea kinaga ubaga ukweli kuhusiana na sakata ya ulaghai inayomzunguka aliyekuuwa waziri wa michezo Rashid Echesa. Wakati huo  huo naibu rais amejitenga vikali na sakata hiyo akiwashtumu wapinzani wake  wa  kisiasa kwa kueneza uvumi huo una lengo la kuchafulia jina afisi yake . Kama Angela Cheror anayosimulia Ruto aliyezuru kaunti ya Kericho ametaka kanisa kuingilia kati ripoti ya BBI na kutoa mwelekeo wao.