Chifu anayeimba kanisani Machakos

  • | K24 Video
    119 views

    Kanisa moja kaunti ya Machakos limedhihirisha kuwa ushirikiano wa karibu baina ya kanisa na uongozi wa serikali kupitia machifu ni muhimu katika kuangamiza madhila yanayoshuhudiwa katika jamii. Chifu wa ngiini huko mitaboni, kaunti ya Machakos Leah Ngutu anahusisha kupungua kwa uhalifu ikiwemo dhulma za kijinsia, utumizi wa mihadarati na dawa za kulevya, wizi, na uhusiano wa karibu baina yake na kanisa ambao umemfanya kuwa mfano wa kuigwa kwa kuwa ni mmoja wa waimbaji katika kwaya ya kanisa la new East Africa church...