Chifu mmoja katika kaunti ya Baringo ameimarisha mbinu zake za kukabiliana na mvinyo

  • | KBC Video
    174 views

    Chifu mmoja katika kaunti ya Baringo ameimarisha mbinu zake za kukabiliana na wafanyibiashara wa pombe haramu katika eneo hilo. Chifu huyo wa kiume kutoka kata ndogo ya Koituimut kufikia sasa amewakamata takriban wafanyobiashara-10 wa pombe haramu ambao walifumaniwa alipofika kwenye eneo la utayarishaji pombe haramu akiwa amevalia mavazi ya kike. Jael Opicho anaangazia taarifa hiyo kwa kina.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News