Chifu Sylvia: Mwanamke Anayeleta Mabadiliko Loita

  • | K24 Video
    130 views

    Katikati mwa eneo la loita, kaunti ya Narok, ambapo mila na desturi zimekita mizizi, mwanamke amejitokeza kama alama ya mabadiliko. Sylvia Naisuako, mwenye umri wa miaka 38, ni chifu pekee mwanamke katika eneo hili. katika jamii inayotawaliwa na taasubi za kiume, chifu Sylvia anaongoza juhudi za kutetea haki za wanawake katika umiliki wa ardhi, kupigania elimu ya wasichana, na uhifadhi wa msitu wa loita. .