Christine Ocholla na Rose Catherine washinda raundi ya 7 ya Gofu ya kimataifa ya Pairs

  • | NTV Video
    227 views

    Christine na Catherine waling'aa baada ya kuandikisha alama 51 na kufuatiwa katika nafasi ya pili na James Mbui na Carol Ribui waliozoa alama 45 sawa na Gibson Singen na Eric Hakeeta walioambulia nafasi ya tatu na alama 45.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya