Chuo cha Kiufundi Cha Karumo chaitikia wito wa rais wa upanzi wa miti na kutunza Mazingira

  • | Citizen TV
    136 views

    Chuo cha Kiufundi Cha Karumo Kilichoko kimeitikia wito wa Rais wa upanzi wa miti na kutunza Mazingira, kikiwa na Lengo la Kupanda miti Zaidi ya Elfu 40 kuchangia bilioni 15 ifikiapo mwaka wa 2032.