Chuo cha Ol Jororok, Nyandarua kupandishwa hadhi

  • | KBC Video
    31 views

    Serikali ya kaunti ya Nyandarua imetenga shilingi milioni 50 kufadhili ukarabati wa chuo cha mafunzo ya kilimo cha Oljororok na kukipandisha hadhi kuwa chuo kikuu. Hii inafuatia makubaliano baina ya serikali ya kaunti ya Nyandarua, wizara ya elimu na chuo kikuu cha Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive