Skip to main content
Skip to main content

Chuo cha TUM chaanzisha rasmi masomo ya udaktari Mombasa

  • | Citizen TV
    263 views
    Duration: 1:51
    Chuo kikuu cha mafunzo ya ufundi cha Mombasa TUM kimezindua rasmi masomo ya udaktari kwa ushirkiano Na serikali ya kaunti Na ubalozi wa ubelgiji nchini. Chuo hicho ni cha kwanza pwani kutoa mafunzo ya udaktari