Chuo cha Ufundi cha Mombasa TUM chaongoza juhudi za upanzi wa miti katika kaunti ya Kwale

  • | Citizen TV
    218 views

    Chuo kikuu cha kiufundi cha Mombasa (TUM) tawi la Kwale kimetaka washirika wengi kushirikiana nacho kwa upandaji wa miti katika ardhi ardhi yake ya zaidi ya ekari hamsini kama njia moja ya kuongeza idadi ya miti nchini.