Chuo Kikuu cha Moi kimewafuta kazi wafanyikazi 900

  • | Citizen TV
    388 views

    Chama cha wahadhiri wa vyuo vikuu, uasu, kimelekea mahakamani kutaka amri ya haraka ya kuzuia chuo kikuu cha moi kuendelea na mpango wa kuwaachisha kazi wafanyakazi zaidi ya mia nane. Chama hicho kimeishutumu chuo cha moi kwa kukaidi agizo la awali la mahakama lililowataka wahusika kuafikiana nje ya mahakama kabla ya kufanya mabadiliko yoyote.