23 Sep 2025 10:13 am | Citizen TV 2 views Wanamazingira na wavuvi katika kaunti ya Kwale wamependekeza marufuku ya matumizi ya mifuko ya plastiki ijumuishe chupa za plastiki kwa lengo la kupunguza uchafuzi wa mazingira hususan maeneo ya baharini.