Clara Luvanga kuipiga jeki Twiga stars, WAFCON

  • | BBC Swahili
    325 views
    Leo ni kufa kupona kwa timu ya taifa ya soka ya Tanzania ya kinadada Twiga Stars katika michuno ya soka la kuwania ubingwa wa mataifa ya Afrika Wafcon 2024 huko Morocco. Kikosi cha Tanzania kimepigwa jeki kwa kurejea kwa mshambuliaji wao nyota Clara Luvanga aliyekosa mechi ya kwanza.