COG yatoa onyo kwa fisi ya Mdhibiti wa Bajeti kwa kuchelewa kuidhinisha pesa za magatuzi

  • | NTV Video
    104 views

    Mwenyekiti wa Baraza la Magavana, Ahmed Abdullahi, ametoa onyo kali kwa Ofisi ya Mdhibiti wa Bajeti, akitangaza kuwa serikali za kaunti ziko tayari kuchukua hatua za kisheria kutokana na kuendelea kucheleweshwa kwa uidhinishaji wa migao kwa magatuzi

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya