Coronavirus: Chanjo za virusi vya corona

  • | BBC Swahili
    Taarifa za kuogofya kuhusu janga la corona zinaendelea kuwatia hofu watu duniani. Majaribio ya uwezekano wa chanjo kwa binadamu imeanza. #Coronavirus #Covid-19 #Virusivyacorona