|Coronavirus Updates| Polisi washika doria kwenye mpaka wa Mombasa na Kilifi

  • | Citizen TV
    Utekelezaji wa amri ya kutoingia au kutoka Mombasa umewaweka walioko katika mtaa wa Mtwapa, ambapo ni mpaka wa Mombasa na Kilifi kwenye njia panda.