COTU imetoa hamasisho kwa vijana kujiunga na miungano mbalimbali

  • | Citizen TV
    237 views

    Muungano wa vyama wa wafanyakazi nchini COTU sasa umetoa hamasisho kwa vijana kujiunga na miungano mbalimbali, ili kuzuia visa vya kutelekezwa kazini. Akizungumza katika kongamano la vijana katika kaunti ya Kisumu, mwakilishi wa ILO Geoffrey Ochola alibaini kuwa licha ya nafasi nyingi za ajira kuchukuliwa na vijana, wengi wao wanalaghaiwa kupitia masharti mabovu ya kazi.