Darubini ya Channel 1

  • | KBC Video
    Darubini ya Channel 1 yaletwa kwako na Beatrice Gatonye. Habari kuu jioni ya leo ni idadi ya wale walioambukiza ugonja wa korona yagonga 172, Naibu Gavana wa Kiambu Joyce Wanjiru Ngugi atasubiri kwa muda kabla ya kuapishwa baada ya jaji ambaye angelimuapisha kukosa kufika kwenye hafla hiyo na aliyekuwa Askofu Mkuu wa Nairobi la kanisa Katoliki, Raphael Ndingi Mwana a’Nzeki amezikwa leo katika kanisa la Holy Family Basilica. Connect with KBC Online; Visit our Website - http://www.kbc.co.ke/ Follow KBC on Twitter - https://twitter.com/KBCChannel1 Find KBC on Facebook - https://www.facebook.com/kbcchannel1n... Follow KBC on Instagram - https://www.instagram.com/kbcnews_/ #KBCNewsHour