Skip to main content
Skip to main content

CS Wandayi: Teso South imekuwa ngome ya kisiasa ya hayati Raila na Rais Ruto kwa miaka mingi sana

  • | KBC Video
    87 views
    Duration: 2:36
    CS Opiyo Wandayi: Mimi naelewa kwamba hapa Teso South imekuwa ngome ya kisiasa ya hayati Raila Odinga na Rais Ruto kwa miaka mingi sana. Baada ya Raila kuungana na Ruto kabla ya kifo chake, nina hakika kwamba eneo hili limebaki ngome ya Rais Ruto. Sasa kuna mtu atapenya hapa? Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive