#DL Waziri mkuu Uingereza mahututi ICU baada ya kuzidiwa na corona

  • | VOA Swahili
    Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson yupo mahututi ICU katika hospitali ya Saint Thomas baada ya kuzidiwa na virusi vya corona #DunianiLeo #VOAswahili #corona #covid19