Daktari Denis Mukwege awasilisha rasmi ombi la kugombea urais Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • | VOA Swahili
    474 views
    Ungana na mwandishi wetu wa DRC akikuletea taarifa kamili kuhusu hatua ya Daktari Denis Mukwege kuwasilisha rasmi ombi lake la kugombea urais nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Pia utaweza kufahamu washiriki wengine katika kinyang'anyiro hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Disemba 20, 2023. Endelea kusikiliza... #daktari #wanawake #denismukwege #urais #uchaguzi #drc #wananchi #voa #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.