- 4,258 viewsDuration: 3:45Daktari Mkongwe Job Obwaka na maafisa wengine watatu wa chama cha madaktari nchini, wameachiliwa kwa dhamana baada ya kukamatwa hapo jana. Wanne hawa wakikana mashtaka yanayohusiana na madai ya kupokea hongo na kukosa kuwasilisha stakabadhi za fedha kwa msajili wa mashirika.