Daktari Ndoole Mute asema hospitali inahitaji dawa, gari

  • | VOA Swahili
    228 views
    Daktari Ndoole Mute wa Kituo cha Afrika huko Sake akitoa matibabu kwa majeruhi. Dr Mute anaeleza umuhimu wa kituo hicho katika kutoa huduma kwa wale wanaoathiriwa na vita vinavyoendelea katika eneo hilo la Sake, Kivu Kaskazini. ⁣Anaeleza namna kituo hicho kinavyo hitaji msaada wa dharura kuweza kuwasaidia wagonjwa wanaowasili hapo wakiwa katika hali mbaya. ⁣ #goma #kivukaskazini #jimbo #waasi #m23 #raia #makombora #sake #gavana #cirimwani #mejajenerali #voa #voaswahili #sake #kivukaskazini #hospitali #kituochaafrika #daktarindoolemute #drc #goma #ndoolemute