Daktari wa hospitali ya Nasser asimulia alivyopigwa na wanajeshi wa Israel

  • | BBC Swahili
    968 views
    Dkt Ahmed Abu Sabha ameiambia BBC kwamba walishikiliwa na kupigwa na wanajeshi wa Israel baada ya uvamizi wao katika hospitali ya Nasser iliyoko Khan Younis kusini mwa Gaza. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilisema "wakati wa shughuli hiyo, magaidi wapatao 200 na washukiwa wa shughuli za kigaidi walizuiliwa, wakiwemo baadhi waliojifanya kama miongoni mwa timu ya watu wa matibabu". #bbcswahili #gaza #israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw