Daktari wa watoto aeleza hospitali pekee ya Nasser imeelemewa na wagonjwa
Hospitali Gaza zinakabiliwa na shinikizo kubwa la wagonjwa wengi wanaowapokea na huku huduma zikiwa finyu kutokana na vita.
Daktari wa watoto, Mervat Al-Qatati, alisema Hospitali ya Nasser haiwezi kutoa matibabu kwa idadi kubwa ya wagonjwa watoto ambao wanawapokea.
Kampeni ya Jeshi la Israel imeziweka hospitali nyingi na vituo vingine vya afya kutoweza kutoa huduma, kulingana na Shirika la Afya Duniani (WHO), na kusababisha ukosefu mkubwa wa mahitaji ya tiba.
Israel inakanusha kukusudia kulenga vituo vya afya au kuzuia upatikanaji wa mahitaji ya tiba kupelekwa Gaza.
Vita hiyo ilianza Oktoba 7 wakati wapiganaji kutoka Palestina wa kikundi cha wanamgambo wa Hamas walipovamia mpakani na kushambulia jamii mbalimbali huko Israel, ikiuwa watu 1,200 na kuwateka watu 250, kulingana na idadi iliyotolewa na Israeli.
Shambulizi la Israeli huko Gaza kulipiza kisasi lilianza siku hiyo hiyo kwa kushambulia kwa mabomu na limeendelea kwa miezi tisa pamoja na uvamizi wa ardhini ambapo mamlaka za afya Palestina zinasema imeuwa zaidi ya watu 38,000 na kujeruhi zaidi ya watu 80,000.
Idadi kubwa ya waliojeruhiwa kutokana na vita hivyo imeongeza magonjwa kusambaa na utapiamlo kati ya wakati asilimia 90 wa Gaza ambapo Umoja wa Mataifa unasema wamekoseshwa makazi, na kuweka shinikizo kubwa kwa mifumo ya afya katika eneo hilo finyu.
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen
12 Jul 2025
- This came after KeRRA and KeNHA bosses stepped down in quick succession.
12 Jul 2025
- Kenya experiences an influx of fake goods into its market on a regular basis.
12 Jul 2025
- Samidoh was among the Mt Kenya artists who visited Kindiki in Karen.
12 Jul 2025
- Clinicians in Machakos County have officially called off a planned strike just two hours before its scheduled commencement, which was to start at midnight on Saturday.
12 Jul 2025
- Iranian authorities carried out on Saturday a public execution of a man convicted of raping and murdering a young girl, the judiciary said.
12 Jul 2025
- Gaza's civil defence agency said Israeli forces killed 18 people on Friday, including 10 who were waiting for aid in the south of the war-ravaged territory.
12 Jul 2025
- At least seven people have been confirmed dead following a tragic road accident involving a lorry transporting tea leaves and a public service matatu at Kijauri Market in Borabu Constituency.
12 Jul 2025
- A son of Mexican drug kingpin Joaquin "El Chapo" Guzman pleaded guilty to drug charges in Chicago on Friday in a deal struck with prosecutors in return for a reduced sentence.
12 Jul 2025
- There is a need to raise awareness on gender–land–climate nexus to strengthen the role of women parliamentarians and duty bearers in gender-responsive land and climate policy-making.
12 Jul 2025
- A court in Madagascar has sentenced a man to surgical castration for the rape of a child in 2024, a judicial official said, in the first such measure on the Indian Ocean island.
12 Jul 2025
- According to the police, the suspect allegedly attacked the deceased after reportedly finding him buying sukuma wiki from his wife.
12 Jul 2025
- At the time of the crash, one engine was regaining thrust while the other had relit but had not yet recovered power.
12 Jul 2025
- “The Kambas who were behind him, they have left. The Kisis have left. The Luhyas have left. The Maasais have left. The Luo Nation is divided in the middle.”