Daniel Nderitu, kijana aliyepigwa risasi wakati wa maandamano ya 'Gen Z' aelezea masikitiko yake

  • | Citizen TV
    2,737 views

    Makovu Ya Maandamano Daniel Nderitu Alipigwa Risasi Wakati Wa Maandamano Nderitu Wa Miaka 37 Alikatwa Mguu Wake Wa Kushoto Harambee Ya Kumchangia Kuwekwa Mguu Imefanywa Leo