Dansira Karikumutima aeleza tabu zinazowakabili wakimbizi wa DRC

  • | VOA Swahili
    582 views
    Dansira Karikumutima aliyekimbilia Uganda akitafuta hifadhi baada ya kuwepo machafuko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo aeleza matatizo yanayowakabili ikiwa ukosefu wa chakula na pia akieleza kuwa wanahofia usalama wao. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.