Kazi ni Kazi I Charles ambaye amejitosa kwenye biashara ya kuuza aina tofauti ya miti

  • | KBC Video
    56 views

    Upanzi wa Miti ni mojawapo wa mipango ya serikali inayonuiwa kuchangia katika kudhibiti mabadiliko ya tabia nchi. Kwenye Makala ya leo ya Kazi ni Kazi, mwanahabari wetu aliungana na Bwana mmoja kwa Jina Charles ambaye amejitosa kwenye biashara ya Kuuza aina tofauti ya Miti. Tazama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive