Chama cha wauguzi nchini chatishia kushiriki mgomo

  • | KBC Video
    9 views

    Wauguzi kote nchini wameipa serikali ya kitaifa na zile za kaunti siku 26 kuboresha maslahi yao au washiriki mgomo ambao unatishia kutatiza huduma katika hospitali za umma. Akiongea jijini Nairobi leo, katibu mkuu wa chama cha wauguzi cha KNUN-Seth Panyako alisema wauguzi watagoma Julai 7 ikiwa serikali itakosa kushughulikia malalamishi yao, ikiwa ni pamoja na suala la wauguzi katika mpango wa afya bora kwa wote-UHC kupewa ajira rasmi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive