Dawa hii ya watoto ya kukohoa yaagizwa kuwa hatari

  • | Citizen TV
    1,068 views

    Bodi ya dawa nchini imesitisha uuzaji na usambazaji wa sehemu ya shehena ya dawa ya kukohoa ya Benylin inayouzwa nchini