Dawa inayofanyiwa majaribio kwa kukabiana na kero la funza

  • | West TV
    116 views
    Kero la funza katika jamii zenye umaskini ulimwengu limesalia kikwazo cha afya bora na hata maendeleo ya kiuchumi, dawa zilizobuniwa kumaliza funza hawa licha ya kuwa na uwezo wa kuangamiza zinakuja na upungufu Juhudi za kampeni dhidi ya funza huenda zikafanikiwa baada ya majaribio ya dawa ya kiasili na wahadhiri wa chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha masinde muliro kuonyesha kuzaa matunda