4 Jun 2026 10:25 am | Citizen TV 403 views Duration: 1:48 Malezi mabaya pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya miongoni mwa vijana katika kaunti ya Garissa yachangia pakubwa kuongezeka kwa visa vya ukosefu wa usalama eneo hilo.