DCI kuanza shughuli ya kutambua miili siku ya Jumatatu kutokano na mkasa wa moto wa Endarasha

  • | TV 47
    42 views

    DCI kuanza shughuli ya kutambua miili siku ya Jumatatu.

    Ibada ya maombi ya madhehebu mbalimbali yafanyika Endarasha kwa heshima ya waliofariki katika mkasa wa moto.

    Ripoti rasmi zinaonyesha wanafunzi 21 waliangamia.

    Wazazi na wakazi walihudhuria ibada.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __