Skip to main content
Skip to main content

DCP yatamba Kakamega baada ya Dickson Okwiri kushinda kiti cha uwakilishi wadi cha Kisa Mashariki

  • | NTV Video
    1,321 views
    Duration: 3:03
    Chama cha DCP kinachoongozwa na aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua kimefanikiwa kupata kiti kimoja cha uwakilishi wadi cha Kisa Mashariki baada ya mgombea wao Dickson Adua Okwiri kuzoa kura 1,952. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya