Dennis Lagat mwenye miaka 14 amekuwa balozi wa amani, Narok

  • | Citizen TV
    Lagat atakumbukwa kujibizana na aliyekuwa mshirikishi Rift Valley Dennis sasa amegeuka na kuwa balozi wa amani eneo la Narok Mvulana huyu alirejea shuleni na kuacha nyuta kuendelea na masomo