Dereva bajaji ''Nimefunzwa namna ya kujikinga ili niwakinge wengine dhidi ya Covid19''

  • | BBC Swahili
    Janga la Corona limesababisha mashirika mengi kuja na njia za ubunifu kufikisha ujumbe wa kujilinda na Corona kwa wananchi. . . Shirika la kujitolea la VSO limekua likitoa mafunzo kwa madereva bajaji mkoni Mtwara kusini mwa Tanzania katika kusaidia kufikisha ujumbe wa kujilindana Corona kwa wakazi wa eneo hilo. Juma Swaleh ni mmoja wa madereva hao #jikingewakingewengine #tanzania #bajaj #bbcswahili