Skip to main content
Skip to main content

Dereva wa mashindano ya magari ya rally Evans Kavisi ana malengo ya kumaliza bora

  • | Citizen TV
    534 views
    Duration: 2:09
    Dereva wa mashindano ya magari ya rally Evans Kavisi ameweka malengo ya kumaliza kwenye nafasi bora katika mashindano yajayo ya Pearl of Africa rally yatakayofanyika kuanzia tarehe 8 hadi 11 Mei nchini uganda, kufuatia kiwango kizuri alichoonyesha katika mashindano ya WRC safari rally yaliyokamilika hivi karibuni.