- 6,027 viewsDuration: 2:22Dereva wa mbunge wa Kibra, Peter Orero, George Oduor amelipa faini ya shilingi laki moja leo, baada ya kupatikana na hatia ya kuvunja sheria za barabarani hapa Nairobi. Mbunge Orero aliomba msamaha kwa wakenya kwa kuhusika kwenye tukio hilo akisema alipatikana 'kona mbaya'