Dereva wa teksi Moses Muli atajwa dereva bora wa bolt

  • | Citizen TV
    615 views

    Dereva Wa Teksi Moses Muli Ametajwa Kuwa Dereva Bora Wa Teksi Za Mtandaoni Za Bolt. Muli Amejishindia Likizo Pamoja Na Familia Yake Kwa Siku Nne Jijini Mombasa Kwa Hisani Ya Kampuni Ya Viutravel. Bolt Imeshirikiana Na Kampuni Ya Viutravel, Kuwazawadi Madereva Na Waendeshaji Pikipiki Bora Katika Kampeni Ya Kipindi Cha Miezi Miwili.