Dhiki Ya Mafuriko: Wakenya wakadiria hasara

  • | KBC Video
    39 views

    Mamilioni ya wakenya wamejawa na wasiwasi huku wengine wakilazimika kutafuta makazi mbadala kutokana na athari za mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo mengi nchini. Siku moja baada ya nyumba kuzama na magari kusombwa na maji ya mafuriko, wakenya wameonywa kujiandaa kwa mvua zaidi. Na kama anavyoripoti Sarafina Robi mambo si shwari kwa wanaoishi kwenye ardhi za maeneo ya chemichemi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive