Dhulma dhidi ya mtoto wa kike zaongezeka kwa asilimia 22

  • | Citizen TV
    327 views

    Ongezeko la dhulma dhidi ya watoto wa kisichana ni mojawapo ya changamoto kuu ambayo inazidi kuathiri kaunti nyingi pwani mwa nchi huku kaunti ya Taita Taveta ikiwa mojawapo ya kaunti ambazo dhulma hizi zimeathiri pakubwa maisha ya mtoto wa kisichana. Idadi ya wale wanaokeketwa na kutungwa mimba za mapema zikiongozeka mara dufu hadi asimilia 22 chini ya miaka miwili, takwimu hizi zikitolewa na shirika la Kenya Democratic Health Survey kati ya mwaka 2020-2021.