Dhulma kwa watoto zaongezeka Taita Taveta

  • | Citizen TV
    88 views

    Kufuatia kuongezeka kwa visa vya dhulma hasa kwa watoto na wanawake kaunti ya Taita Taveta,serikali ya kaunti hiyo imeandaa kongamano la kujadili mbinu za kukabili suala hilo mjini Voi