Dhulma za kijinsia Migori vinaendelea kuongezeka

  • | Citizen TV
    150 views

    Unyanyapaa katika jamii umetajwa na wanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu kama kichocheo cha ongezeko la visa vya dhuluma za kijinsia katika kaunti ya Migori.