Dhuluma za kijinsia zinachangia watoto kuacha shule

  • | Citizen TV
    617 views

    Dhuluma za kijinsia na wazazi kuwatelekeza wanao kumechangia watoto wengi kukosa kuendeleza masomo katika kaunti ya Makueni. Denis Mutisya ni mmoja wa waathiriwa ambaye amelazimika kufanya vibarua kujilipia shule baada ya wazazi wake kukosana na kumtoroka.