Dhuluma za kujinsia | Wahudumu wapokea mafunzo

  • | KBC Video
    11 views

    Wahudumu wa afya kutoka kaunti za Nairobi, Kiambu na Machakos wamekamilisha mafunzo ya wiki moja kuhusu jinsi ya kulinda haki za waathiriwa wa dhuluma za kijinsia. Hayo yanajiri huku taifa likikabiliana na ongezeko la visya vya dhuluma hizo ikiwa ni pamoja na dhuluma za kinyumbani, dhuluma za kimapenzi, ukeketaji wa wanawake na ndoa za mapema. Kwa taarifa hii kwa kina na nyingne ni kwenye mseto wa habari za magatuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #afya #News #dhulumazakijinsia