Dira Ya Dunia TV mpya na bora zaidi Kuanza Juni 5

  • | BBC Swahili
    1,104 views
    Kuanzia Jumatatu ijayo Juni 5, matangazo yetu ya Dira Ya Dunia TV yatakujia mubashara kutoka Nairobi, Kenya, na mtangazaji wako kinara Roncliffe Odit. Taarifa za uhakika, mahojiano na wataalamu, pamoja na picha za kuvutia. Yote hayo katika #DiraYaDuniaTV mpya na iliyoimarika kutoka Afrika. #bbcswahili #dirayadunia #habari